WAKATI La Liga ikiwa imesimama kutokana na kupambana na maambukizi ya Virusi vya Corna kuna wachezaji ambao wametupia mabao 11 ndani ya klabu zao.
Mwendo wa 11 tu huko La Liga upo namna hii:- Luis Suarez wa Barcelona ametupia mabao 11 na timu yake ipo nafasi ya Kwanza na pointi zake 58 baada ya kucheza mechi 27.
Lukas Perez anayekipiga Alaves ametupia 11 timu yake ikiwa nafasi ya 14 na pointi 32 imecheza mechi 27.
Roger wa Levante ametupia pia 11, timu yake ipo nafasi ya 13 imecheza mechi 27 na pointi 33.

Post a Comment