NEYMAR da Silva Santos Júnior nyota wa PSG inayoshiriki Ligue 1 yupo kwenye hesabu za kurudishwa ndani ya Barcelona.
Akiwa ndani ya PSG ametupia mabao 13 na timu yake inaongoza ligi ikiwa nafasi ya kwanza na pointi 68.
Imecheza mechi 27 na kufunga jumla ya mabao 75 msimu huu wa 2019/20.
Nyota huyo ana miaka 28 amecheza mechi 15 na ametoa pasi sita za mabao.
Post a Comment