IMEELEZWA kuwa wachezaji wote wanaoshriki Ligi Kuu ya England watawekwa ndani kwa muda wa wiki sita kabla ya ligi hiyo kurejea.
Kwa mujibu wa mtandao wa The Mirror umeripoti kuwa wachezaji watawekwa Lockdown katika hotel kwa wiki 6 kabla ya kuanza kumaliza msimu wa EPL 2019/2020.
Mechi zilizobaki zinatarajiwa kuchezwa bila uwepo wa mashabiki uwanjani kutokana Virusi vya Corona.
Post a Comment