DAVID Luiz, beki wa kati wa Arsenal anaamini kuwa Kwenye mapambano ya Virusi vya Corona kuna umuhimu wa kuwakumbuka wataalamu wa masuala ya afya.
Luiz amesema kuwa watu wa afya wamekuwa wakijitolea Kwenye mambo mengi bila kujali matokeo kwao.
"Wamekuwa wakifanya mambo makubwa na wakati mwingine wakiwa Kwenye hatari wanapambana katika kazi yao.
"Kitu muhimu ni kuwaombea kwani wanajihatarisha na hawachoki katika kazi yao, nasi ni lazima kuchukua tahadhari, " .
Post a Comment