KEVIN de Bruyne staa wa Manchester City amesema kuwa tuzo ya mchezaji bora wa msimu iende Liverpool.

Mpishi huyo wa mabao akiwa na pasi 16 za mabao amesema Sadio Mane anastahili kusepa na tuzo hiyo kwa msimu huu wa 2019/20 ambao kwa sasa umesimama kutokana na maabukizi ya Virusi vya Corona.


 "Kama mtu akaniuliza ni nani anafaa kuwa mchezaji bora Kwenye Ligi Kuu England msimu huu nitasema Mane amefanya kazi kubwa,".

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.