DANI Alves, staa anayekipiga ndani ya Sao Paulo amesema kuwa haitakuwa vibaya kama atastaafia ndani ya Klabu ya Boca Junior.
Beki huyo ambaye amekipiga pia Barcelona amesema kuwa alikuwa anaipenda timu hiyo kwa muda mrefu.
"Unajua ninaipenda nimekuwa nikiipenda kwa muda mrefu Klabu ya Boca sio kwa sababu watu wanaiongelea hapana ni klabu kubwa nimegundua ina kitu cha tofauti," amesema.
Post a Comment