SAMUEL Umtiti beki anayekipiga ndani ya Klabu ya Barcelona amesema kuwa hana mpango wa kutimka ndani ya kikosi hicho.

Taarifa zinaeleza kuwa kitasa hicho Chenye umri wa miaka 26 bado kinafurahia maisha ndani ya Klabu hiyo.

Mkataba wake unameguka msimu wa 2025 ambapo alikuwa anatajwa huenda akasepa.

Miongoni mwa Klabu ambazo zilikuwa zinatajwa kuiwinda saini yake ni Chelsea na Manchester United

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.