Mshambuliaji wa klabu ya RB Leipzig Timo Werner, yupo tayari kusaini kwenye klabu ya Liverpool endapo klabu hiyo inayoshiri ligi kuu ya Uingereza italipa ada ya mchezaji huyo ya £52m kabla kipengele hicho cha kwenye mkataba wake kabla ya Juni 15.

Lakini Liverpool hawapo tayari kufanya usajili wa mchezaji huyo kabla ya kipengele cha mkataba wake hakijaisha

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.