KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga Mrisho Ngasa amejipa jukumu la kupanga kikosi cha kwanza cha Yanga anachoamini kuwa kitakuwa ni balaa uwanjani ambapo kinaweza kumpiga mpinzani wao mabao Yanga.
Ngasa ambaye kwa sasa yupo zake Bagamoyo kutokana na Ligi Kuu Bara kusimamishwa kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona.
Kiungo huyo amesema kuwa wachezaji ambao hajawataja wana udhuru ikiwa ni pamoja na matatizo ya kifamilia na ameweka msisitizo kwamba hakuna ishu ya kusema hawajazoeana wale aliowapanga na mwisho anawataka mashabiki na dunia nzima kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Corona.
Kikosi chake hiki hapa:-
Metacha Mnata
Juma Abdul
Jaffary Mohaemd
Kelvin Yondan
Juma Makapu
Fei Toto
Bernard Morrison
Haruna Niyonzima
Tariq Seif
Mrisho Ngassa
Mapinduzi Balama
Benchi
Farouk Shikalo
Ally Mtoni
Deus Kaseke
Papy Tshishimbi
Ditram Nchimbi
Mohamed Banka
David Molinga
Post a Comment