KIUNGO Mkabaji wa timu ya Yanga, Feisal Salum, 'Fei Toto' amesema kuwa kwa sasa anaendelea kufanya mazoezi ili kuwa bora na anachukua tahadhari ya kujilinda na Virusi vya Corona.

Kwa sasa Ligi Kuu Bara imesimama kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona.

Fei Toto amesema:" Kuna vingi ambavyo tunavikosa lakini ni muhimu kujali na kufikiria afya zetu kwani ni muhimu kuliko kitu kingne kwanza.

"Nafanya mazoezi ili kuwa bora na ninachukua tahadhari kuhusu Corona imani yangu hali itakuwa poa na tukirudi nitakuwa kwenye ubora," amesema.

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.