ROBERT Lewandowski nyota anayekipiga ndani ya klabu ya Bayern inayoshiriki Bundeslinga anakimbikza kwa kucheka na nyavu.
Amefunga mabao 25 amecheza mechi 23 na ametoa pasi tatu za mabao huku timu yake ikiwa nafasi kwanza na imefunga mabao 73.
Nyota huyo mwenye miaka 31 ana uzito wa kg 80 ana hat-trick moja na braces mara tano.

Post a Comment