HARRY Edward Kane nyota wa Spurs anasumbuliwa na msuli wa nyama za paja jambo lililomuweka nje ya Uwanja kwa muda mrefu .

Amezaliwa Julai 28,1993, England anavaa jezi namba 10 inaelezwa kuwa anahitaji kusepa ndani ya kikosi hicho huku ikitajwa kuwa Juventus ikitajwa kuiwinda saini yake.


Nyota huyo amecheza mechi 20 na amefunga mabao 11 kwenye Ligi Kuu England.

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.