HARUNA Niyonzima alipokuwa akikipiga Simba msimu wa 2018/19 alifeli kucheza mechi nyingi kutokana na majeraha ya kifundo cha mguu na alikaa nje ya Uwanja nusu msimu.
Anasema kuwa mechi zake kali na za kumvutia ni dhidi ya AS Vita ambapo Simba ilishinda mabao 2-1 Uwanja wa Taifa ulikuwa ni wa Ligi ya Mabingwa Afrika na ilitinga hatua ya robo Fainali.
Mechi yake ya pili ni dhidi ya TP Mazembe ambapo Simba ilifungwa mabao 4-1 anasema alicheza kwa kiwango cha juu.
Kwa sasa anakipiga ndani ya Yanga iliyo chini ya Kocha Mkuu, Luc Eymael.
Post a Comment