HII Hapa Orodha ya wachezaji ghali kwa Bara la Afrika wanaokipiga soka la kulipwa:-

Nicolas Pepe, pauni milioni 89 ametoka Lille sasa anakipiga Arsenal.

Geddric Bakambu, pauni milioni 79 ametoka Villarreal anakipiga Beijing Guoani.

Riyad Mahrez, pauni milioni 72 ametoka Leicester City anakipiga Man City.

Pierre Aubameyang, pauni milioni 68 ametoka Borrussia Dortmund anakipiga Arsenal.

Naby Keita, pauni milioni 64 ametoka RB Leipzing anakipiga Liverpool.

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.