April 18, 2025

Kuwasili kwa beki wa kimataifa wa England, Harry Maguire kutoka Leicester City katika dirisha kubwa lililopita la majira ya joto kumemaliza kabisa nafasi ya Bailly huku Kocha, Ole Gunnar Solskjaer akitaka kutengeneza kombinesheni ya staa huyo na Victor Lindelof.

MANCHESTER United inataka kumuongezea mkataba beki wake wa kimataifa wa Ivory Coast, Eric Bailly licha ya staa huyo kuwa majeruhi ikihofia kwamba huenda akaondoka bure mwishoni mwa msimu huu mkataba wake ukimalizika.

United haina mpango wa muda mrefu na staa huyo lakini inataka kuambulia chochote katika dirisha kubwa lijalo la majira ya joto pindi staa huyo atakaporuhusiwa kuondoka klabuni hapo miaka minne baada ya kutua kutoka Villarreal.

Kuwasili kwa beki wa kimataifa wa England, Harry Maguire kutoka Leicester City katika dirisha kubwa lililopita la majira ya joto kumemaliza kabisa nafasi ya Bailly huku Kocha, Ole Gunnar Solskjaer akitaka kutengeneza kombinesheni ya staa huyo na Victor Lindelof.

United imevunja rekodi ya uhamisho kwa mabeki duniani kwa kumsajili Maguire kwa Pauni 85 milioni. Rekodi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na beki wa Liverpool, Virgil van Dijk aliyetoka Southampton.

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

Post a Comment

    Author Name

    Contact Form

    Name

    Email *

    Message *

    Powered by Blogger.