April 22, 2025

Mshambuliaji mpya wa kikosi cha Inter Milan Romelu Lukaku, ametupa dongo kimtindo kwa timu yake ya zamani ya Manchester United alipokuwa akitoa mlinganisho wa mazoezi akiwa na kikosi chake kipya.

Lukaku amenukuliwa akisema kuwa alipokuwa England mazoezi yalikuwa ni mengi lakini Inter Milan kuna mazoezi ya ukweli kauli ambayo imetafsiriwa kuwa ni dongo kwa Manchester United iliyo chini ya Ole Gunnar Solkjaer.

"Hapa mazoezi ni magumu, kule England kazi ni nyingi lakini huku kuna mazoezi ya ukweli," amesema.

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

Post a Comment

    Author Name

    Contact Form

    Name

    Email *

    Message *

    Powered by Blogger.