Highlands Park, Morogoro, Kocha Msaidizi, Noel Mwandila (kushoto) Hafidh Saleh, Peter Manyika na Dr Edward Bavu
Baada ya kusemekana kuwa Kelvin Yondani, Endrew Vicent 'Dante' pamoja na Juma Abdul, kugomea mazoezi kisa kudai malikimbikizo ya mishahara yao, Bundi ameanza kutanda mitaa ya Twiga na Jangwani kwani kuna taarifa za chini chini zinadai kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo, Mwinyi Zahera naye ameweka mgomo wa kurudi Tanzania mpaka alipwe pesa zake.
Taarifa zinadai kuwa kocha Zahera, wakati akiifundisha Yanga kwa msimu uliomalizika, 2018-19, kuna baadhi ya gharama alikuwa akizitoa kwenye timu, kama vile kuisafirisha timu, posho za wachezaji na mambo mengine.
Post a Comment