MSIMU mpaya wa Ligi Kuu England umeanza kunoga kwa upande wa vita ya Tuzo ya Ufungaji Bora ambapo moto umeanza kuwaka.

Ligi ya England ambayo imeshaanza kwa mwaka 2019/20 vita ya ufungaji bora kwa sasa imezaliwa upya.

 Washindi kwa msimu uliopita ambao ni Sadio Mane, Mohamed Salah wanaokipiga Liverpool na Pierre Aubameyang wa Arsenal wameanza yao.

Maswahiba wawili, Salah na Mane wao wametupia bao mojamoja huku timu yao ikiwa imecheza michezo miwili na kushinda yote.

Auba kawapiga bao katupia mabao mawili mechi mbili, na amesema kuwa anafurahia kuona timu yake ikiwa inashinda.

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.