NEEMA imezidi kuongezeka kwa mabingwa wa Ligi Kuu Bara, msimu wa 2028/19 lo baada ya kupewa hundi na wadhamini wa klabu hiyo SportPesa.

Simba leo wamepeleka kombe la Ligi Kuu Bara kwenye ofisi za Tanzania SportPesa ambapo uongozi wa SportPesa wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu, Bw. Pavel Slavkov ukakabidhi hundi ya Tsh 100,000,000/= kama pongezi.
Tags:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.