Home
AZAM FC
LEO NI ZAMU YA RUVU SHOOTING KUMENYANA NA AZAM FC
AZAM FC leo inashuka uwanjani kumenyana na kikosi cha Ruvu Shooting.
Mchezo huu wa kujipima nguvu utachezwa uwanja wa Chamazi majira ya saa 10:00 jioni.
Azam FC inaingia uwanjani ikiwa na kumbukumbu ya kushinda mchezo wake wa hivi karibuni dhidi ya Polisi Tanzania kwa bao 1-0.
Post a Comment