Msemaji
wa klabu ya @simbasctanzania @hajismanara amefunguka na kueleza
kusikitishwa na Watanzania kuendelea kutumia vibaya mitandao ya kijamii
hadi kupelekea kutoa matusi Kwa wachezaji wa Aston Villa hasa nahodha wa
timu hiyo wakidai anamnyima @samagoal77 pasi.
Manara amewaonya vikali Watanzania kwa
kusema kuwa makosa ya Abuse kwa nchi za wenzetu ni mabaya sana hasa kwa
upande wa @samagoal77 maneno hayo mabaya yanaweza kumharibia kwenye timu
yake na hasa career yake.
Post a Comment