Kipindi cha Kwanza: Yanga 0-0 Gwambina FC
Uwanja wa Uhuru.

YANGA leo imeikaribisha Gwambian FC Uwanja wa Uhuru kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho.

Mshindi wa leo anapenya jumla mpaka hatua ya robo fainali kuendeleza mbio za kusaka ubingwa uliopo mikononi mwa Azam FC.

Mashabiki wamejitokeza Uwanja wa Uhuru kushuhudia pambano.

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.