April 10, 202507:32:48 AM


JONAS Mkude kiungo mkabaji wa Simba amepelekwa Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) kwa kosa la kumpiga kiwiko mchezaji wa Biashara United FC katika mchezo uliofanyika Februari 22, 2020 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Kwenye mchezo huo wa Ligi Kuu Bara timu ya Simba ilishinda mabao 3-1

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

Post a Comment

    Author Name

    Contact Form

    Name

    Email *

    Message *

    Powered by Blogger.