IMEELEZWA kuwa kiungo mshambuliaji wa timu ya Yanga, Bernard Morrison amepata ofa mezani kutoka Afrika Kusini zikiwa na lengo la kuipata saini yake.

Morrison amejiunga na Yanga kwenye usajili wa dirisha dogo amekuwa kwenye kiwango kizuri kwani amefunga mabao mawili akiwa na timu hiyo.

Morrison alitajwa pia kuingia anga za Simba ambao waliushtua uongozi wa Yanga na kufanya wakae chini ili waongeze mkataba na nyota huyo ambaye inaelezwa amesaini kandarasi ya miezi sita.

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.