LIGI Kuu ya Wanawake inazidi kuchanja mbunga ambapo kwa sasa ipo raudi ya 10.



Jana Februari 27, 2020 raundi ya 10 Ligi ya Wanawake iliendelea na timu 12 zilikuwa kazini.

Yanga Princes ilishusha kichapo kikubwa kuliko timu zote kwa kushinda mabao 8-1 ikafuatia na JKT Queens ambao ni mabingwa watetezi kwa kumchapa mtu mabao 7-0.

Matokeo yao yapo namna hii:-

JKT Queens 7-0 Kigoma Sisterz
Asha Rashid (3)
Fatuma Mustapha (3)
Annastazia Katunzi

Simba Queens 4-1 Alliance Girls
Asha Djafari
Oppa Clement
Mwanahamisi Omary (2)
Janeth Matulanga (Alliance)

Yanga Princess 8-1 Marsh Queens
Shelda Boniphace
Mwapewa Mtumwa (2)
Fatuma Bushir (2)
Grace Yusuph
Nasma Manduta
Amina Amini (Marsh)
Eliet Kulwa (amejifunga)

Ruvuma Queens 4-0 Tanzanite
Mariana Kenneth
Husna Mpanja
Amina Ramadhan
Diana Lucas

Mlandizi 2-1 TSC
Abinus Said (TSC)
Philomena Daniel
Fatuma Zaidi

Panama 0-3 Baobab
Mgeni kisoda
Jamila Rajabu
Diana Mnali

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.