JOHN Bocco, nahodha wa Simba amesema kuwa wachezaji wapo tayari kwa ajili kutimiza majukumu ya ndani ya Uwanja, wao wanahitaji sapoti ya mashabiki.

Machi, Mosi, Simba itamenyana na KMC Uwanja wa Taifa majira ya saa 1:00 usiku mchezo wa mzunguko wa pili.

Bocco amesema :" Wapinzani wetu tunatambua kwamba wanahitaji pointi tatu nasi tupo tayari kuzipata pointi tatu kikubwa mashabiki watupe sapoti ili kuona namna gani tutazipata pointi hizo tatu,".

Mchezo wa kwanza wa mzunguko wa kwanza, Simba ilishinda mabao 2-0.

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.