KIKOSI cha Azam FC leo kimetia timu Dodomayalipo makao makuu ya nchi kwa ajili mchezo wao wa kesho dhidi ya JKT Tanzania.
Azam FC kwenye Ligi Kuu Bara ipo nafasi ya pili ikiwa imecheza mechi 24 na ina pointi 45 kibindoni.
Mechi yake ya mwisho ilinyooshwa bao 1-0 na Namungo FC Uwanja wa Majaliwa.
Mchezo huo utachezwa kesho, Februari 29 Uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Post a Comment