YANGA kesho wataikaribisha timu ya Alliance FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa Uwaja wa Taifa.

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa kuanzia majira ya saa 10:00 jioni.

Ofisa Uhamasishaji wa Yanga, Antonio Nugaz amesema kuwa kila kitu kipo sawa na wana imani ya kupata matokeo ili kurejesha furaha jangwani.

Yanga ipo nafasi ya nne ikiwa imecheza mechi 22 ina pointi 41 kibindoni.

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.