LEO, Februari 26 Uwanja wa Kaitaba kutakuwa na mchezo wa hatua ya 16 bora kati ya Kagera Sugar na KMC, saa 10:00 jioni.

Mecky Maxime, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa kikosi kipo tayari kwa ushindani na amewaandaa vijana wake kwa ajili ya mchezo wa leo.

"Maandalizi yapo tayari na kila kitu kipo sawa, vijana wangu wanatambua kwamba mchezo utakuwa mgumu kwa kuwa tunacheza na timu imara na yenye hasira ya kutafuta matokeo.

"Wito wangu kwa mashabiki kujitokeza kwa wingi uwanjani kuipa sapoti timu yao," amesema

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.