UWANJA wa Kaitaba leo umetakata kwa wenyeji Kagera Sugar baada ya kuifungishia virago KMC ambao walikuwa wapinzani wao kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora wa Kombe la Shirikisho uliochezwa uwanjani hapo.
Dakika 90 za mchezo zilikamilika kwa timu zote mbili kutoshana nguvu ya kufungana bao 1-1 na kuwapeleka hatua ya penalti ambapo Kagera Sugar ilishinda penalti 2-0.
Kagera Sugar inatinga hatua ya robo fainali ikisubiri hatua ya droo ipangwe ili kumjua mpinzani wake

Post a Comment