LUC Eymael Kocha Mkuu wa Yanga ametozwa faini ya Tsh 500,000 (laki tano) kwa kosa la kukataa kufanya mahojiano (interview) na mdhamini wa Ligi Kuu Azam Media katika mechi iliyochezwa Februari 23, 2020 Uwanja wa Mkwakwani Tanga.

Adhabu hiyo imetolewa kwa uzingativu wa kanuni ya 41(2) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti wa Makocha.


Mchezo huo ulikamilika kwa Yanga kugawana pointi moja na Coastal Union baada ya kutoshana nguvu ndani ya dakika 90.

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.