Home
Unlabelled
AZAM FC WATINGA ROBO FAINALI SHIRIKISHO
MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho, Azam FC wametinga hatua ya robo fainali leo kwa ushindi wa penalti 5-4 mbele ya Ihefu FC ya Mbeya.
Dakika tisini mabingwa hao watetezi walitoshana nguvu na Ihefu kwa kulazimisha suluhu.
Mchezo huo ulichezwa Uwanja wa Sokoine Mbeya ulikuwa na ushindani mkubwa
Post a Comment