ABDULAZIZ Makame, nyota wa timu ya Yanga amesema kuwa mashabiki wao wasifikirie kuwa wamefukuzwa kwenye pango lao walilokuwa wakikaa bali wamekwenda kuanza maisha mapya.
Kauli hiyo ameitoa kutokana na kusambaa kwa picha kwenye mitandao zikiwaonyesha wachezaji wa Yanga wakipakia vyombo vyao kwenye gari huku ikielezwa kuwa wamefukuzwa kwa kushindwa kulipa fedha ya pango.
Makame amesema:"Ishu ya kushindwa kulipa fedha ya pango sio kweli na wala hatujafukuzwa ila ishu ni kwamba tulikuwa tunahama Kariakoo na kuelekea Kinondoni ambapo tumepata chumba bora kuliko kile cha mwanzo,".

Post a Comment