Imeripotiwa kuwa mtu mmoja amejaribu kutaka kufanya udukuzi, (hacked), kwenye Email binafsi za Kocha Mkuu wa Klabu ya Manchester City, Pep Guardiola na kuuza kwa paundi laki 100,000.
Pep Guardiola has reportedly been targeted by a hacker who tried to sell his private emails
Mtu huyo amekamatwa wiki hii na Polisi, Manchester baada ya kufanya udukuzi katika akaunti ya Email ya Bosi huyo baada ya kuitumikia miamba hiyo yenye maskani yake Etihad mwaka 2017.
Anadaiwa kuwa alipata maelezo binafsi ya wachezaji na maswala ya usajili na mazungumzo mbalimbali kutoka katika Email hiyo, kwa mujibu wa The Sun.
Mtaalamu huyo wa IT, amedai kuwa kwake ilikuwa kitu rahisi kuwahi kufanya, akifanikiwa kupata kila Email ya Kocha huyo mwenye umri wa miaka 49.
He claims to have acquired access to transfer talks, which included Matthijs de Ligt
Baada ya kukamatwa kwa mtaalamu huyo wa IT, amedai kuwa alipata uwezo wa kuingia kwenye akaunti ya Email ya Guardiola ni baada ya kupata simu yake na ku- ‘downloaded’ mambo binafsi ya kiwemo taarifa za usajili.
Na kufafanua kuwa ameweza kuona taarifa za usajili hata zile ambazo hazikufanikiwa na kuongeza kuwa ameona mazungumzo ya Guardiola na wachezaji Matthijs de Ligt na Sokratis Papastathopoulos.
Ambapo, De Ligt akitimkia Juventus akitokea Ajax, wakati Sokratis akijiunga na Arsenal akitokea Borussia Dortmund mwaka 2018. Goli kipa, Joe Hart na hata Vincent Kompany.
Post a Comment