PAPY Tshishimbi, nahodha wa timu ya Yanga amekutana na rungu la Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

Tshishimbi, ametozwa faini ya Tsh. 200,000 (laki mbili) kwa kosa la kukataa kufanya mahojiano (interview) na mdhamini wa Ligi Kuu Azam Media katika mechi iliyofanyika Februari 23, 2020 uwanja wa mkwakwani mkoani Tanga.

Adhabu imetolewa kwa uzingativu wa kanuni 38(18) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti wa Wachezaji.


Mchezo huo ulikamilika kwa yanga kutshana nguvu na Coastal Union na kugawana pointi mojamoja. 

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.