MASAU Bwire, Ofisa Habari wa timu ya Ruvu Shooting amepelekwa kwenye Kamati ya Nidhamu ya TFF kwa kosa la kutoa taarifa za uongo kwenye vyombo vya habari na kauli za maudhi kwa viongozi wa timu ya Polisi Tanzania FC.
Imeelezwa kuwa taarifa hizo alizitoa katika mchezo uliochezwa Februari 22, 2020 uwanja wa Ushirika mkoani Kilimanjaro.
Post a Comment