Klabu ya soka ya yanga ina ratiba ngumu kwa mwezi huu wa februari ambapo inatakiwa kucheza jumla ya mecchi tisa  tatu za ugenini na sita za nyumbani.

Hii hapa ratiba ya mechi

 1) 02/02/2020 Yanga SC vs Mtibwa Sugar-National Stadium 1600hrs;

2) 05/02/2020 Yanga SC vs Lipuli FC- National Stadium 1600 hrs;

3) 08/02/2020 Ruvu Shooting vs Yanga SC National Stadium 1900hrs;

4) 11/02/2020 Yanga SC vs Mbeya City- National Stadium 19:00hrs
5) 15/02/2020 Young vs Tanzania Prisons National Stadium 1900hrs;

6) 18/02/2020 Police Tanzania vs Yanga SC- Ushirika Stadium, Kilimanjaro, 1600hrs;

7) 23/02/2020 Coastal Union vs Yanga Mkwakwani Stadium, Tanga 16:00hrs

8) 25 or 26/02/2020 Yanga SC vs Gwambina FC (FA); 9) 29/02/2020 Yanga SC vs Alliance FC, National Stadium, 1600hrs;

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.