MANCHESTER City leo wameibuka wababe mbele ya Liverpool kwenye mchezo wa Kombe ya ngao ya jamii.

Manchester City walianza kupachika bao la kwanza dakika ya 12 kupitia kwa Raheem Sterling na lilidumu mpaka kipindi cha pili.

Liverpool ilisawazisha bao hilo dakika ya 77 kupitia kwa Joel Malip dakika ya 77.

Mpaka dakika tisini zinakamilika ngoma ilikuwa droo na kupelekea mikwaju ya penalti ambapo Liverpool ilipoteza.

City imeshinda kwa jumla ya penalti 5-4 Liverpool na kuacha ubingwa ukitua Manchester City.

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.