Nahodha msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein Zimbwe akikabidhi kombe la ubingwa wa Mkurugenzi Mkuu wa SportPesa, Ndugu pavel Slavkov. (Picha na SportPesa News)
Msafara mzima wa Simba na viongozi wa SportPesa wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa zoezi la makabidhiano. (Picha na SportPesa News)
Wachezaji wa Simba wakiwasili kwenye ofisi za SportPesa.
Nahodha msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein akikabidhi jezi mpya ya Simba iliyosainiwa na wachezaji kwa Mkurugenzi Mkuu wa SportPesa, Ndugu Pavel Slavkov. (Picha na SportPesa News).
Post a Comment