KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20 'Tanzanite' Bakari Shime 'Mchawi Mweusi' amesema leo hakuna namna lazima wawachape wapinzani wao Botswana.
Tanzanite ipo nchini Afrika Kusini kwa ajili ya michuano ya COSAFA ambayo imeanza kutimua vumbi jana, leo wanakipiga mchezo wao wa kwanza na Botswana.
"Watanzania wanapaswa kuwa na imani na sisi, tumekuja kufanya kazi na tupo tayari kwa ushindani, morali waliyonayo wacheaji ni kubwa ni jambo la kusubiri wakati tu, lazima tupate matokeo chanya" amesema.
Mchezo wa leo dhidi ya Botswana utachezwa Uwanja wa Gelvandale,Port Elizabeth,Afrika Kusini.

Post a Comment