Nyota hawa bora kimataifa wanapokea mkwanja mnene kwa wiki kama hivi
Lionel Messi wa Barcelona anakunja pauni 900,000.
Cristiano Ronaldo wa Juventus anakunja pauni 850,000.
Antonio Griezmann wa Barcelona anakunja pauni 725,000.
Neymar Jr wa PSG anakunja pauni 675,000.
Luis Suarez wa Barcelona anakunja pauni 625,000.
Gareth Bale wa Real Madrid anakunja pauni 600,000.
Alex Sanchez wa Manchester United anakunja pauni 505,000.
Phillippe Coutinho wa Barcelona anakunja pauni 500,000.
Post a Comment