UONGOZI wa Simba umesema kuwa kwa wakati huu wamewazuia wachezaji wa Simba kula vyakula vyenye mafuta na vinywaji vyenye sukari nyingi ili kulinda afya zao.
Ligi Kuu Tanzania Bara imesimama kwa sasa kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona ambapo wakati inasimamishwa Simba ilikuwa nafasi ya kwanza ikiwa na pointi 71.
Seleman Matola, Kocha Msaizidi wa Simba amesema:"Wachezaji hawapaswi kula Chips na kunywa vinywaji vyenye sukari jambo litakalolinda afya zao kwa sasa.
"Kuongezeka uzito kwa wachezaji inategemea na aina ya mfumo wa maisha hivyo tumewashauri wasile baadhi ya vyakula visivyo na umuhimu," .

Post a Comment