CHRIS Smalling anayekipiga ndani ya Roma kwa mkopo akitokea katika Manchester United inasemekana Man U inampango wa kumrejesha msimu ujao.
Mabosi wa Roma tayari nao wamenogewa na huduma ya nyota huyo wanahitaji kuipata pia saini yake.
Mabosi wa Roma tayari nao wamenogewa na huduma ya nyota huyo wanahitaji kuipata pia saini yake.
Msimu uliopita Smalling alishindwa kutamba ndani ya Man United katika mechi 24 za Premier League nambayo ilimaliza msimu ikiwa nafasi ya sita.
Roma imekuwa na maombi kuwa staa huyo asalie katika klabu hiyo kwa kutoa kitita cha pauni milioni 25, lakini Man United haijasema chochote mpaka sasa.
Post a Comment