BARAKA Majogoro kiungo wa Polisi Tanzania saini yake imegeuka lulu kutokana na klabu nyingi kuelezwa kuitaka saini yake.

Polisi Tanzania ipo chini ya Kocha Mkuu, Malale Hamsini ipo nafasi ya sita kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi zake 45.

Miongoni mwa klabu ambazo zinatajwa kuwania saini yake ni pamoja na Namungo FC, Lipuli FC, Kagera Sugar na Azam FC.

Ofisa Habari wa Azam FC, Zaka Zakazi amesema kuwa mpango wa usajili kwa sasa bado wakati ukifika kila kitu kitawekwa wazi.

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.