SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa ni ngumu kuwafuatilia wachezaji kwa wakati huu kama wanafanya mazoezi au la.
Kwa sasa Ligi Kuu Tanzania Bara imesimamishwa kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona.
Matola amesema:" Kwa sasa ni ngumu kujua kwamba wachezaji wanafanya mazoezi ama la kutokana na mfumo wa maisha kuwa tofauti na kila mmoja kuwa na mtindo wake mwenyewe.
"Kinachotakiwa ni kwa kila mchezaji kuwa makini kufanya yale aliyoelekezwa ili awe bora na imara pale ligi itakaporejea,".

Post a Comment