HUSSEIN Machozi Mwana BongoFleva anayeishi Italia amesema kuwa maambukizi ya Virusi vya Corona yamewafanya wajifungie ndani muda mwingi.

Machozi kwa sasa kazi zake za muziki anazifanyia nchini Italia ambapo kumekuwa na ripoti kwamba hali ya maambukizi ni kubwa.

 "Kiukweli hakuna anayethubutu kuchungulia nje, mji wote upo kimya hakuna mtu ambaye yupo mtaani kwa kuhofia kuathirika.

"Polisi nao wapo mtaani wanazunguka wakiwatafuta wale wanaodhurala mtaani ili kuwazuia wasifanye hivyo kwa lengo la kuwalinda wawe salama," amesema.

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.