RAIS wa klabu ya Getafe Angel Torres amesema matumaini yake ni kuona kuwa La Liga inarejea uwanjani kuanzia Mei 29, mwaka huu na hii ni kutokana na mlipuko wa Virusi vya Corona.
La Liga kwa sasa imesimama kutokana na Virusi vya Corona na bado haijafamika lini rasmi ligi hiyo itarejea na kuendelea au kusimama moja kwamoja
Torres alisema: “ Nafikiria La Liga inaweza kuendelea Mei 29 kama mambo yataenda sawa japo kabla watatakiwa kutueleza siku 15 kabla ili wachezaji wafanye mazoezi kidogo kwa sasa hivi kila mmoja anajua kinachoendelea,”alisema Torres
Post a Comment