KLABU ya Fiorentina imetangaza kuwa mastaa wake watatu ambao walikutwa na Virusi vya Corona kwa sasa wamepona na wanaendelea vizuri.
 Mastaa hao ni pamoja na Patrick Cutrone, German Pezzella na Dusan Vlahovic awali walibaini kupata virusi vya Corona ndani ya kikosi cha timu hiyo.
 Fiorentina  ilisema: “ Tunachukua nafasi hii kuwashukuru  madaktari, manesi na hospitali zote ambazo walihusika kutibu wachezaji na ambao wanaendelea kutibu watu wengine  kwa kazi nzuri

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.