ABOUTWALIB Mshery, mlinda mlango wa Mtibwa Sugar kwa sasa hali yake inaendelea vizuri baada ya kupata matibabu.
Nyota huyo alipata majeraha Februari 15 wakati timu yake ilipokuwa inamenyana na JKT Tanzania.
Kwa sasa mlinda mlango huyo anaendelea na mazoezi mepesi akiwa nyumbani kutokana na kujilinda na Virusi vya Corona
Post a Comment