MOHAMED Rashid,'Mo Rashid' nyota anayekipiga ndani ya JKT Tanzania kwa mkopo akitokea Klabu ya Simba amesema kuwa kwa sasa anapiga dozi ya mazoezi mara mbili kwa siku ili kulinda kipaji chake.

Akizungumza na Saleh Jembe, Rashid amesema kuwa amekuwa akifanya mazoezi asubuhi na jioni kwa kufuata program alizopewa na Kocha Mkuu, Mohamed Abdallah.

"Nipo nyumbani kwa sasa nikiendelea na mazoezi pia ninaomba dua ili hali ikae sawa maana hapa kwa sasa mambo bado hayajakaa vizuri.

"Bado kuna ugumu ambao upo kutokana na kukosa uhuru ambao tulikuwa nao mwanzo lakini hilo halina maana kwamba tupuuzie masuala ya kanuni haitapendeza," amesema Rashid.

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.